TANZIA Dkt. Cyril Chami afariki dunia

TANZIA Dkt. Cyril Chami afariki dunia

Innah lilah Wainnah Ilayh Rajiun.

Moja ya mwanafunzi mwenye akili sana na GPA ya kutajika na kusifika kwenye corido za idara ya Uchumi Mlimani(UDSM) miaka hiyo.

Prof Haidar alikuwa akisema "Kwenye mtihani ukiweka calculations yoyote ya uchumi basi lazima, lazima Cyril apate hilo swali
Alikuwa na akili sana ya calculations za kiuchumi"
 
Innah lilah Wainnah Ilayh Rajiun.

Moja ya mwanafunzi mwenye akili sana na GPA ya kutajika na kusifika kwenye corido za idara ya Uchumi Mlimani.

Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
 
Innaa milkullah yataswarrafu fiinaa kayfa yashaau aende anapostahiki
 
Innah lilah Wainnah Ilayh Rajiun.

Moja ya mwanafunzi mwenye akili sana na GPA ya kutajika na kusifika kwenye corido za idara ya Uchumi Mlimani.

Prof Haidar alikuwa akisema "Kwenye mtihani ukiweka calculations yoyote ya uchumi basi lazima, lazima Cyril apate hilo swali
Alikuwa na akili sana ya calculations za kiuchumi"
Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
 
Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
Na Siasa alifeli totally kuanzia jimboni nothing na utendaji serikalini nothing. Kumbukeni aliwekwa bench after incompetent performance mpaka kwa wapiga kura.
 
Ndio ule msala wa mawaziri mizigo naye ndio alikuwepo. Lakni huyu jamaa anamwagia masifa ya kijinga kibaoo
 
Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
Pamoja na Uduni wa Elimu Yetu lakini Ujinga sio Jambo jema na Kufuraikiwa wala Kusifiwa.

Ni Heri Elimu duni kuliko Ujinga.

Hujui Cyril ametoa wachumi wengi kupitia mikono yake kote nchini.
Je hili pia sio Jema kwa Marehemu, Je sio faida kwa Taifa??

Fikiri tena..!!
 
Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
Upo sahihi sana.

Mimi nimezungumzia kwenye aspect ya taaluma tu.!
 
Ndio ule msala wa mawaziri mizigo naye ndio alikuwepo. Lakni huyu jamaa anamwagia masifa ya kijinga kibaoo
Ukweli tuseme. Ila ngoja tukae kimya maana marehemu huwa hasemwi vibaya. Ila mkewe wa kwanza yule wa ndoa wa ujana wake sijui yuko wapi siku hizi ila anaweza kuandika kitabu. Sema mengi yanaishia moyoni mwa mwanadamu.
 
Binadamu mwenzio anapotangulia, itoshe tu kusema RIP au maneno mengine kwa imani yako vile unawaza.
 
Ukweli tuseme. Ila ngoja tukae kimya maana marehemu huwa hasemwi vibaya. Ila mkewe wa kwanza yule wa ndoa wa ujana wake sijui yuko wapi siku hizi ila anaweza kuandika kitabu. Sema mengi yanaishia moyoni mwa mwanadamu.
Duuh unajua mengi mkuu
 
Ndio ule msala wa mawaziri mizigo naye ndio alikuwepo. Lakni huyu jamaa anamwagia masifa ya kijinga kibaoo
Watanzania wengi akiwemo Meko bado wanaheshimu watu wenye 'mavyeti' hata kama 'mavyeti' yao hayawasaidii wao wenyewe ama wanao wazunguka.
 
Pamoja na Uduni wa Elimu Yetu lakini Ujinga sio Jambo jema na Kufuraikiwa wala Kusifiwa.

Ni Heri Elimu duni kuliko Ujinga.

Hujui Cyril ametoa wachumi wengi kupitia mikono yake kote nchini.
Je hili pia sio Jema kwa Marehemu, Je sio faida kwa Taifa??

Fikiri tena..!!

Yawezekana 'ametoa' wachumi wengi sana kama ambavyo naye 'alitolewa' na ameshindwa kulisaidia taifa.

Dalili za mwenendo wa uchumi wa taifa hili yaweza kuwa viashiria vya awali kuwa si yeye wala wanafunzi wake, wote wamefeli.

Ni vigumu kuamini 'falsafa' za mtu aliyefeli practically zinaweza kukwamua wengine kuelekea kufaulu.
 
Back
Top Bottom