THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Innah lilah Wainnah Ilayh Rajiun.
Moja ya mwanafunzi mwenye akili sana na GPA ya kutajika na kusifika kwenye corido za idara ya Uchumi Mlimani.
Prof Haidar alikuwa akisema "Kwenye mtihani ukiweka calculations yoyote ya uchumi basi lazima, lazima Cyril apate hilo swali
Alikuwa na akili sana ya calculations za kiuchumi"
Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.Innah lilah Wainnah Ilayh Rajiun.
Moja ya mwanafunzi mwenye akili sana na GPA ya kutajika na kusifika kwenye corido za idara ya Uchumi Mlimani.
Prof Haidar alikuwa akisema "Kwenye mtihani ukiweka calculations yoyote ya uchumi basi lazima, lazima Cyril apate hilo swali
Alikuwa na akili sana ya calculations za kiuchumi"
Na Siasa alifeli totally kuanzia jimboni nothing na utendaji serikalini nothing. Kumbukeni aliwekwa bench after incompetent performance mpaka kwa wapiga kura.Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
Na Siasa alifeli totally kuanzia jimboni nothing na utendaji serikalini nothing. Kumbukeni aliwekwa bench after incompetent performance mpaka kwa wapiga kura.
Pamoja na Uduni wa Elimu Yetu lakini Ujinga sio Jambo jema na Kufuraikiwa wala Kusifiwa.Zimetusaidia nini hzo calculations?? Elimu yetu ya kukarriri ndio ikamtoa huko kwenye kuzalisha uchumi akawa mwanasiasa bassiii
Hospitali ya Benjamin Mkapa tafuta taarifa zakeDom kuna hospitali nzuri zaidi ya Dar au ni nyumbani kwake?
Upo sahihi sana.Sure he was the brightest man of all. Ila nimegundua vipanga wengi darasa ni haimaanishi ni vipanga katika utendaji au maisha. Sorry that he wasn't talented in many others including family. He failed.
Ukweli tuseme. Ila ngoja tukae kimya maana marehemu huwa hasemwi vibaya. Ila mkewe wa kwanza yule wa ndoa wa ujana wake sijui yuko wapi siku hizi ila anaweza kuandika kitabu. Sema mengi yanaishia moyoni mwa mwanadamu.Ndio ule msala wa mawaziri mizigo naye ndio alikuwepo. Lakni huyu jamaa anamwagia masifa ya kijinga kibaoo
Sure mkuu. Ngoja sisi tunaomfahamu tufiche ya sirini.Upo sahihi sana.
Mimi nimezungumzia kwenye aspect ya taaluma tu.!
OkHospitali ya Benjamin Mkapa tafuta taarifa zake
Duuh unajua mengi mkuuUkweli tuseme. Ila ngoja tukae kimya maana marehemu huwa hasemwi vibaya. Ila mkewe wa kwanza yule wa ndoa wa ujana wake sijui yuko wapi siku hizi ila anaweza kuandika kitabu. Sema mengi yanaishia moyoni mwa mwanadamu.
Watanzania wengi akiwemo Meko bado wanaheshimu watu wenye 'mavyeti' hata kama 'mavyeti' yao hayawasaidii wao wenyewe ama wanao wazunguka.Ndio ule msala wa mawaziri mizigo naye ndio alikuwepo. Lakni huyu jamaa anamwagia masifa ya kijinga kibaoo
Pamoja na Uduni wa Elimu Yetu lakini Ujinga sio Jambo jema na Kufuraikiwa wala Kusifiwa.
Ni Heri Elimu duni kuliko Ujinga.
Hujui Cyril ametoa wachumi wengi kupitia mikono yake kote nchini.
Je hili pia sio Jema kwa Marehemu, Je sio faida kwa Taifa??
Fikiri tena..!!