Uchaguzi 2020 Dkt. Damas Ndumbaro achukua fomu ya Ubunge Songea Mjini kupitia CCM. Atumia usafiri wa baiskeli

Uchaguzi 2020 Dkt. Damas Ndumbaro achukua fomu ya Ubunge Songea Mjini kupitia CCM. Atumia usafiri wa baiskeli

Huyo anapandaje baiskeli hajui Tanzania tuko uchumi wa kati.Duuh ila Magu kajua kutunyoosha,ukitaka kula nae vitamu lazima uimbe nyimbo za kumpamba.
 
Hahahhaha.Hakuna namna mbinu zote zinaruhusiwa as far as sheria haivunjwi. Mimi nitakwenda na kwa mguu kabisa.
Mimi naomba unialike nikusubirie nje ukitoka niwe mbeba begi wako.
Upambe nao unalipa pande zote duniani.
 
Hivi katika nchi zilizoendelea haya maigizo ya kwenye siasa pia yanafanyika jamani au ni kwetu tu huku?
 
Sisi wananchi wa kawaida wa Songea mjini hatutumii hizo baiskeli za gia. Tunatumia Foneksi na Avon. Asitake kujifananisha na sisi
 
Matumizi ya baiskeli ulaya ni sehemu ya ufahari , viongozi wengi wanatumia baiskeri kwenye private assignment.
Unajua hill?
 
huyu anagombea na bwana ERICK MAPUNDA DED mla rushwa aliyekubuhu. anafanya mapenzi na watumishi ofisini kwake. ama kweli ccm ni ficho la wahalifu
 
Wanaogopa kwenda na Ma v8 yao sahv

Ova
 
Watu wa kusini niwajuavyo
Wananchi wanafurahi kuona kafanana nao laiti wangejua
 
Kwaiyo namadanga wanaruhusiwa kuchukua Fomu ccm.
hua unajiskiaje unapomkebehi mtu ambaye haumjui halafu hakujibu, si unajiona mpumbavu sana?!

CCM tutatawala milele, ije mvua,ije jua, ukiona vipi kunywa sumu.
 
Back
Top Bottom