Dkt. Damas Ndumbaro: Demokrasia na Utawala bora kwa Tanzania unazingatiwa sana

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania IPU Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Mkutano huo unatoa nafasi ya kueleza maendeleo ya kikatiba, mfumo wa vyama vingi, utawala wa sheria na namna taasisi za nchi zinavyofanya kazi ambapo amesema kwa uzoefu wa katika masuala ya demokrasia, Katiba, mfumo wa vyama vingi na utawala wa sheria Tanzania imeendelea kufanya vizuri.

Aidha amesema Ndumbaro suala la Utawala na Demokrasia kwa Tanzania watu wengi wanaliangalia kwa mtazamo finyu lakini likiangaliwa kwa mtazamo mpana wa kitalaamu na jicho bobevu kama nchi imefanya vizuri katika sekta hiyo.
Your browser is not able to display this video.
 
Ninachoweza kuwaambia watanzania kama msivyoiamini indicator ya bodaboda, hivyo hivyo na serikali yenu

Usalama wako uko mkononi mwako
 
uyu Daktari kadiri siku zinapoenda anazidi tu kujishushia heshima zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…