Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro anaeleza sababu ambazo zilipelekea timu ya Majimaji ya Songea kufa licha ya GSM kuwa msimamizi wa timu hiyo ukizingatia amezaliwa Songea.
hili jamaa nilikuwa naliona Lina akili kumbe jinga tangia aingie kwenye siasa.
yeye ni mbunge lakini kashindwa kusaidia timu mpaka Nyoni anajitolea pesa zake wakati yeye ni mdau wa michezo