TANZIA Dkt. Daniel Lema, Mwanzilishi wa Radio Safina iliyopo Kaloleni, Arusha amefariki

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,832
Reaction score
77,037
MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA REDIO ARUSHA MAMA, HELLEN DANIEL LEMA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MUME WAKE MPENDWA AMBAYE NI MUASISI WA HUDUMA YA REDIO SAFINA ARUSHA
DR. DANIEL LEMA KILICHOTOKEA JUMATANO YA SEPTEMBA 23 2026 KATIKA HOSPITALI YA SELIANI JIJINI ARUSHA (ALMC).

MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWAKE KALOLENI JIJINI ARUSHA NA RATIBA YA MAZISHI TUTAWAJULISHA BAADA YA TARATIBU ZOTE ZA MAZISHI KUKAMILIKA.

HABARI ZIWAFIKIE WAFANYAKAZI WOTE WA HUDUMA YA REDIO SAFINA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI, WAUMINI NA WASIKILIZAJI WOTE WA REDIO SAFINA.

Katika kipindi cha uongozi na huduma yake Dr. Daniel Lema alijitoa kwa moyo wake wote katika kulitumikia kusudi la Mungu kupitia huduma ya Redio Safina na tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kwa kazi ya Mungu aliyotimiza na kwa alama aliyoiacha katika maisha ya wengi.

Matendo ya Mitume 13:36b Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake alilala.

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, jina la Bwana na libarikiwe.
AMEN.

1790258027683.png
 
View attachment 3677072
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

M.A.P D.L
 
Pale makonda alipokwenda akakemea mapepo ni hapa safina radio?
 
Back
Top Bottom