Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Bibi yangu kanipigia simu na kuuliza eti “nyumonia” ni mdudu gani huyu?Pneumonia ilaaaniwe
Nimemwambia huyu ni zaidi ya wale wasiojulikana maana anaweza kukukaba katikati kabisa ya traffic jam na TANZIA ikakuhusu hapohapo