Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wanamtaka nani ?Halafu Mwinyi alibebebwa na nguvu ya dola tu, lkn wazanzibari hawamtaki mpk kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamtaka nani ?Halafu Mwinyi alibebebwa na nguvu ya dola tu, lkn wazanzibari hawamtaki mpk kesho
nakaziaUlevi tu!!
Ulevi tu!!
Ulevi tu
Ulevi tu!!
Ulevi tu
Ulevi tu!!
Ulevi tu!!
Ulevi tu
Ulevi tu!!
Ulevi tu
Nimemkumbuka aliyekuwa mb wa nkasi??Uchafu wa Jiwe unarejeshwa Zanzibar na Chawa , Aibu sana !
Kama Kiongozi anaongoza vyema na kwa uadilifu mkubwa miaka saba saba haina shida !!Amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala miaka mitano atawale miaka Saba
Hii nikutokana na MAFANIKIO makubwa aliyoleta katika Visiwa hivyo Kwa kipindi Cha miaka mitatu aliyokaa Madarakani miongoni mwa MAFANIKIO hayo ni kuvuka sera za CHAMA hicho katika ujenzi wa Madarasa Kwa asilimia mia Moja na hamsini. Ujenzi wa hospital za kisasa Kwa Kila Wilaya ya Visiwa hivyo kizifanyia ukarabati barabara zote kuu na za ndani visiwani humo . Ujenzi wa flaiova
Na hivi karibu anatarajia kuanza ujenzi vituo vya TAXI za bahari kurejesha usafiri wa Treni ZANZIBAR mradi wa mabasi ya kisasa ya abiria yatakayokua yanatumia mfumo wa gesi
Kama haitoshi amejenga viwanja vya kisasa vya michezo ya ndani kuukarabati Uwanja wa Amani KUJENGA Parking ya kisasa katika Mji wa ZANZIBAR
Na mengine mengi
Hivyo Hilo likipita uchaguzi Mkuu wa ZANZIBAR utakua mwaka 2027 na Muhula wa pili atamaliza 2034
ZANZIBAR Yangaraaa
Alisema Wabunge wa Znz wanaweza kuita Wapiga kura wao kwa filimbi na wote wakakusanyika kwa udogo wa jimbo lakini wanalipwa sawa na wao ambao unaweza ukatumia siku nzima kutembelea jimbo na usimalizeNimemkumbuka aliyekuwa mb wa nkasi??
Hivi anaendeleaje sahv
Ova
Kwanza siyo kwao , Babaake kwao ni Kivule huko Mkoani PwaniHalafu Mwinyi alibebebwa na nguvu ya dola tu, lkn wazanzibari hawamtaki mpk kesho.
Hapo anaandaa machawa ili aoneshe kuwa anapendwa halafu aibe uchaguzi ujao.
Yuko analima MahindiNimemkumbuka aliyekuwa mb wa nkasi??
Hivi anaendeleaje sahv
Ova
Fomu ya kugombea urais Zanzibar Kuna kipengele cha kujaza mahala alipozaliwa huko Zanzibar. Kwasabb kila nafasi ya uongozi inapaswa kugombewa na mzanzibari.Kwanza siyo kwao , Babaake kwao ni Kivule huko Mkoani Pwani
Ana makando kando ya kutisha , tukiyafumua humu hamtakalikaFomu ya kugombea urais Zanzibar Kuna kipengele cha kujaza mahala alipozaliwa huko Zanzibar. Kwasabb kila nafasi ya uongozi inapaswa kugombewa na mzanzibari.
Alishindwa kujaza kipengele hicho akaandika amezaliwa Tanzania. Kwasabb anajua kuwa yeye siyo mzaznzibari.
Wanasemaha political tourist.Halafu Mwinyi alibebebwa na nguvu ya dola tu, lkn wazanzibari hawamtaki mpk kesho.
Hapo anaandaa machawa ili aoneshe kuwa anapendwa halafu aibe uchaguzi ujao.
Jamaa doctorate yake ni ya ujinga?Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala miaka mitano atawale miaka Saba.
Hii nikutokana na MAFANIKIO makubwa aliyoleta katika Visiwa hivyo Kwa kipindi Cha miaka mitatu aliyokaa Madarakani miongoni mwa MAFANIKIO hayo ni kuvuka sera za CHAMA hicho katika ujenzi wa Madarasa Kwa asilimia mia Moja na hamsini. Ujenzi wa hospital za kisasa Kwa Kila Wilaya ya Visiwa hivyo kizifanyia ukarabati barabara zote kuu na za ndani visiwani humo . Ujenzi wa flaiova
Na hivi karibu anatarajia kuanza ujenzi vituo vya TAXI za bahari kurejesha usafiri wa Treni ZANZIBAR mradi wa mabasi ya kisasa ya abiria yatakayokua yanatumia mfumo wa gesi
Kama haitoshi amejenga viwanja vya kisasa vya michezo ya ndani kuukarabati Uwanja wa Amani KUJENGA Parking ya kisasa katika Mji wa ZANZIBAR
Na mengine mengi
Hivyo Hilo likipita uchaguzi Mkuu wa ZANZIBAR utakua mwaka 2027 na Muhula wa pili atamaliza 2034
ZANZIBAR Yangaraaa
Hizi zinaitwa Porojo za wapambe.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala miaka mitano atawale miaka Saba.
Hii nikutokana na MAFANIKIO makubwa aliyoleta katika Visiwa hivyo Kwa kipindi Cha miaka mitatu aliyokaa Madarakani miongoni mwa MAFANIKIO hayo ni kuvuka sera za CHAMA hicho katika ujenzi wa Madarasa Kwa asilimia mia Moja na hamsini. Ujenzi wa hospital za kisasa Kwa Kila Wilaya ya Visiwa hivyo kizifanyia ukarabati barabara zote kuu na za ndani visiwani humo . Ujenzi wa flaiova
Na hivi karibu anatarajia kuanza ujenzi vituo vya TAXI za bahari kurejesha usafiri wa Treni ZANZIBAR mradi wa mabasi ya kisasa ya abiria yatakayokua yanatumia mfumo wa gesi
Kama haitoshi amejenga viwanja vya kisasa vya michezo ya ndani kuukarabati Uwanja wa Amani KUJENGA Parking ya kisasa katika Mji wa ZANZIBAR
Na mengine mengi
Hivyo Hilo likipita uchaguzi Mkuu wa ZANZIBAR utakua mwaka 2027 na Muhula wa pili atamaliza 2034
ZANZIBAR Yangaraaa
Hawasomi historia au wanajifanya kujizima data.Huyu Jamaa Naona Amevimbiwa,Akajisahauu.Ajikumbushe yaliyomkuta Komandoo Dr.Salmin Amour.Alitolewa Nduki huko Dodoma,Mpaka Leo alinyamazishwa mazimaa.
Ajabu wote sasa hawako madarakani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbunge mmoja mwenye kitambi akisema mwendazake atake asitake ataongezewa muda. Wakati huo hajaongea na mamlaka za Mbinguni ambayo ndio yenye uamuzi wa mwisho.
Huyu waziri anataka kumjengea Dr maadui wasio wa lazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mwinyi anae tetemeka miguu kama member wa chaputa[emoji1787][emoji1787]
Duh.... Na huyu bwana Dimwa naye ni Dr. kweli safari bado ndeeeefu sanaNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala miaka mitano atawale miaka Saba.