Dkt Dorothy Gwajima anawamudu sana Gen Z. Wabadilishane wizara na Nanauka

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.

Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.

GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
 
Yule waziri wa ma GenZ bado ana vitu vingi vya kujifunza.

Kuna tofauti kubwa sana ya kuwa na akili za kutatua changamoto kwa njia ya makaratasi (kuandika) na kutatua kwa kuzi face uso kwa uso field

Alichokutana nacho Nanauka ni kwamba yeye alizoea kutatua changamoto kwa kuongea na kuandika tu sasa yuko field anaona ilivyokuwa vigumu

Unaposikia watu wanasema ni rahisi sana kufanikiwa kilimo cha matikiti kwenye makaratasi na kufeli shambani ndo hiki cha Nanauka; Mitivesheni spika
 
hakuna haja ya mabadiliko dhidi ya waziri Dr.Gwajima,
kwasababu anaweza kudeal na vijana kama kundi maalumu hata hapa aliko.

wewe kamwe hutowahi kua mtu mwenye maamuzi, kwasababu ya tabia yako mbaya kufuata mkumbo kama linyumbu vile
 
Dakta Gwajima ni kama Oliseh, anacheza miguu yote, huyu mama ukimkasirikia basi shetani ni mjomba wako.
 
Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.

Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.

GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
Sema anakutoa knockout wewe na siyo wengine. Hapa JF ameulizwa mengi na anaogopa kujibu.
 
Kwani GenZ wanahitaji maneno au vitendo?
Maneno matupu bila matendo ni propaganda na hayawezi kuwa endelevu
 
Yule waziri wa ma GenZ bado ana vitu vingi vya kujifunza.

Kuna tofauti kubwa sana ya kuwa na akili za kutatua changamoto kwa njia ya makaratasi (kuandika) na kutatua kwa kuzi face uso kwa uso field

Alichokutana nacho Nanauka ni kwamba yeye alizoea kutatua changamoto kwa kuongea na kuandika tu sasa yuko field anaona ilivyokuwa vigumu

Unaposikia watu wanasema ni rahisi sana kufanikiwa kilimo cha matikiti kwenye makaratasi na kufeli shambani ndo hiki cha Nanauka; Mitivesheni spika
Ila watz wengi tupo hivyo, ni hodari sana wa kubwabwaja ila mtu akipewa nafasi atekeleze yale aliyokuwa anabwabwaja anaishia kupuyanga tu.
 
Sio kwamba "anawamudu", anafanya kazi inayokubalika na yeyote mwenye akili timamu.

Akienda huko kwingine atalazimika kujivika ujinga kama kile kipindi cha covid na watu watampopoa vizuri tu.
 
hakuna haja ya mabadiliko dhidi ya waziri Dr.Gwajima,
kwasababu anaweza kudeal na vijana kama kundi maalumu hata hapa aliko.

wewe kamwe hutowahi kua mtu mwenye maamuzi, kwasababu ya tabia yako mbaya kufuata mkumbo kama linyumbu vile
Siongei na wehu kama wewe
 
Punguza mihemko nonsense pamoja na nyuzi useless bas gentleman 🐒

Screenshot_20260406-150040~5.jpg
Mwenzako huyo akili kama yako
 
Attachments

  • 20260411_064829.jpg
    20260411_064829.jpg
    286.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom