The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Mamlaka ya uteuzi ndo ina maamuzi siyo yeyejumamos alinipm ngoj ntampigia normal call nimwambie huu ushauri
sawaTumepokea ushauri wako
Tutaufikisha kwenye mamlaka za juu
kuwa mpoleMamlaka ya uteuzi ndo ina maamuzi siyo yeye
Yule waziri wa ma GenZ bado ana vitu vingi vya kujifunza.Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.
Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.
GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
hakuna haja ya mabadiliko dhidi ya waziri Dr.Gwajima,Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.
Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.
GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
Dakta Gwajima ni kama Oliseh, anacheza miguu yote, huyu mama ukimkasirikia basi shetani ni mjomba wako.Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.
Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.
GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
Sema anakutoa knockout wewe na siyo wengine. Hapa JF ameulizwa mengi na anaogopa kujibu.Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.
Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia.
GenZ siyo wa kwenda nao kwa hasira za mikwaju na vitisho wanataka majibu ya matatizo yao na kwa mtu mwenye clean sheet kama Dorothy Gwajima atawafaa sana na pengine kutuliza ghafhabu kabisa.
Hana VPN ndio sababu humuoni humu.Sema anakutoa knockout wewe na siyo wengine. Hapa JF ameulizwa mengi na anaogopa kujibu.
Wabongo mnapenda mambo ya mizaha mizaha kwenye uongozi na siyo umakini. Ujinga mtupu. Huyu kipindi cha Magufuli alikuwa kichaa kabisa wakati wa korona.Dakta Gwajima ni kama Oliseh, anacheza miguu yote, huyu mama ukimkasirikia basi shetani ni mjomba wako.
Ila watz wengi tupo hivyo, ni hodari sana wa kubwabwaja ila mtu akipewa nafasi atekeleze yale aliyokuwa anabwabwaja anaishia kupuyanga tu.Yule waziri wa ma GenZ bado ana vitu vingi vya kujifunza.
Kuna tofauti kubwa sana ya kuwa na akili za kutatua changamoto kwa njia ya makaratasi (kuandika) na kutatua kwa kuzi face uso kwa uso field
Alichokutana nacho Nanauka ni kwamba yeye alizoea kutatua changamoto kwa kuongea na kuandika tu sasa yuko field anaona ilivyokuwa vigumu
Unaposikia watu wanasema ni rahisi sana kufanikiwa kilimo cha matikiti kwenye makaratasi na kufeli shambani ndo hiki cha Nanauka; Mitivesheni spika
Siongei na wehu kama wewehakuna haja ya mabadiliko dhidi ya waziri Dr.Gwajima,
kwasababu anaweza kudeal na vijana kama kundi maalumu hata hapa aliko.
wewe kamwe hutowahi kua mtu mwenye maamuzi, kwasababu ya tabia yako mbaya kufuata mkumbo kama linyumbu vile
Punguza mihemko nonsense pamoja na nyuzi useless bas gentleman 🐒Siongei na wehu kama wewe
Punguza mihemko nonsense pamoja na nyuzi useless bas gentleman 🐒
Siyo kweli Gwajima hajawahi kimbia hoja. yeye ndo mchokoza maada mkuu nadhani humjui yule maza weweSema anakutoa knockout wewe na siyo wengine. Hapa JF ameulizwa mengi na anaogopa kujibu.