UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kwani sera na mifumo ya kufikisha dawa kwa mlaji hazipo? Tatizo siyo sera na mifumo, tatizo ni kwamba nyie ni WEZI. Badilikeni muache wizi muone kama dawa hazitamfikia mlaji!Mh....wewe naona hoja zako ni dhaifu dhaifu ( In Prof Assad Voice).
Yaani umesahau kuwa waliotuhumiwa kuchota fedha za Escrow ni mawaziri.?Ndo maana nasema wizi upo kila mahali na ni kosa la jinai.
Majukumu ya waziri ni kutengeza sera nzuri na mifumo mizuri ya usimamizi ili dawa zimfikie mlaji wa mwisho na vile vile kuongeza morali wa kazi na ubunifu kwa mtoa dawa.
[emoji1787]
Kutafuta lugha mwororo ya kumshugulikia mwizi inataka kipaji.Kiukweli huyu mama style yake ya uongozi inashangaza. Naona anawagawa watumishi badala ya kuwaunganisha.
Hili ni tatizo kubwa!
Nami nimeshangaa kama wewe.Hata wewe Janee? My God!!!!
Huyu mama ni Mlokole na anefunga kila jumanne, mama wa mikesho, hii michambo kajifundishia wapi ?.Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.
Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.
Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.
Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Typical behaviour ya wasukuma, there is no wonder kwa tuliosoma nao na kuishi naowapi MAKONDA!, Naona type zile zile. TUTAREKEBISHA MBELENI KM KUTATOKEA MAKOSA
Mtaani tuna vijana kibao hawana ajiraAkiendelea hivi atatumbuliwa madaktari Ni watu muhimu sio vizuri kuwazalilisha bila kutumia ustaarabu.
Huyuu kapaniki kuwa waziri bado wenge la kuwa waziri halijamuisha.
Akiendelea hivi lazima kamgoma baridi na hujuma katokee.
Ni kweli mkuu hata Mimi ananitia mashaka utakuta akianza kuongea sentesi mwisho inakaa ya kwanza na ya kwanza inaenda mwisho mikwara mingi ni heli awe anafanya vitendo zaidi kuliko maneno asiyoyaweza,ukimcheki alivyojitoa ufahamu kama mzee wa mwibara basi naona kama heshima ya udokta inashuka kabisa.Binafsi namuona kama baadhi ya nati zimelegea kichwani mtu gani anaongea hana mpangilio wa maneno.
Hajajifunza kwa Mwigulu, Lugola na HamisMi mwenyewe namuona kama kuna kitu hakipo sawa kichwani... anatumia nguvu nyingi sana kama LUGOLA
Anachofanya ni Sawa na kuwachapa viboko hadharani. Naona sio sawa.Kutafuta lugha mwororo ya kumshugulikia mwizi inataka kipaji.
Juzi ameenda wilayani, wamekuwa wakikusanya milioni 24 kabla ya mfumo.
Wameweka mfumo leo hii wakikusanya Million 790.
Tofauti ya karibu millioni 760. Makusanyo haya ambayo haya kukusanywa bila ajizi hii million 960 ilikuwa inaibiwa tuu.
Kwa wizi wa namna hii kiongozi lazima UCHANGANYIKWE.
Aunde kamati maakumu ichinguze dawa zinaibwaje na ni njia gani itumike kuthibiti hilo tatizoJibuni hoja acha nalalamiko yaliyojaa kashfa.
Mimi namfuatilia na yupo sahihi. Dawa zinaibiwa sana.
CHAPA KAZI BIBIE. MPAKA TUJUE DAWA ZINAENDA WAPI...