Dkt. Doto Biteko anatufaa kwa ngazi ya juu zaidi

Kabisa, ana utulivu mkubwa na hana tamaa ya madaraka kama Majaliwa
jinga kabisa wewe,acha kumfananisha Majaliwa na yoyote,nchi nzima inatamani awe Rais wa hii nchi.
 
Tuseme mara ngapi? Sio raia wa kuzaliwa. Hilo ni takwa la katiba ya nchi kwa nafasi za juu. Labda mbadilishe katiba ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…