Hii Africa Energy Future Summit inatuonyesha umakini wa viongozi wetu. Mmojawapo ni Mheshimiwa Dr Dotto Biteko (PhD) huyu kiongozi ni hazina ya mbeleni. Ana utulivu wa kiuongozi na elimu pia ipo
Asante.
View: https://www.youtube.com/watch?v=o6bgARGZYwg
Dr Mwigulu atakua kwenye PANEL, tusikilize madini zaidi
Hafai. nimeona hathubutu hata kuondoa macho kwa sekunde mbili kutoka kwenye karatasi.