Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
73727F70-CCD2-443C-A1CD-A363A2CE8D89.jpeg

Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.

Matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa TLS

Edward Hosea 293
Flaviana Charles 223
Shezhad walli 192
Albert Msando 69
Francis Stolla 17

======

UCHAGUZI TLS, NI DKT HOSEA

Dkt Edward Hosea amekuwa Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akishinda kwa jumla ya kura 293 akifuatiwa na malkia wa nguvu Flaviana Charles aliyepata Kura 223 Kati ya kura 802 zilizo pigwa na wanachama hao.
 
Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.

View attachment 1753667
Okay Mkuu, umekuwa wa kwanza kutuhabarisha. Umewawahi wooooote! Tupe matokeo halisi sasa!
 
... huyu I hope atakuwa alitambika sana baada ya kuponea mkono wa jiwe!
 
Back
Top Bottom