Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Licha ya kutumia nguvu kubwa ya vyombo vya habari haikufua dafu mbele ya wajumbe wa TLS na kumpiga Chini msando aliyejaribu kutumia wapambe wake akina Ally Bananga ambao kimsingi si wanasheria bali wakesha clubs za Arusha
Screenshot_20210416-171540_Facebook.jpg


Picha ya pili Msando akiwa ukumbi wa kupigia KuraView attachment 1753768
 
Hakupita kura za maoni ubunge.

Hajapita na hapa.

Ningekua yeye ningefocus kutengeneza misingi miongoni mwa wenza wangu kitaaluma na kichama badala ya kutegemea aggressive advertising inipe kura.
 
Hakupita kura za maoni ubunge.

Hajapita na hapa.

Ningekua yeye ningefocus kutengeneza misingi miongoni mwa wenza wangu kitaaluma na kichama badala ya kutegemea aggressive advertising inipe kura.
Tatizo Msando haaminiki. na angepata huo urais Wangemtambua. Usomi na uaminifu ni vitu viwili tofauti
 
DR Hosea anajipya gani mpaka wakamchagua? Anyway wanajua wenyewe wanasheria.........
 
Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
People underestimate the power of social media......alifanya akijua itaishia vile vile....itamtafuna maisha yake yote....amuulize yule binti wa SAUT picha zake zilivuja mwanzoni mwa 2010s inavyomtafuna mpaka leo

Ile video ili mdefine kama mtu ambaye sio mannered ama disciplined na atakapo pata madaraka yoyote atatudhibitishia vip kwamba hata yatumia kwa vitendo kama vile? (I don't judge him but a married man is expected to behave in certain ways)

Another thing.......kwanini Msando anatafuta sana power ?🤔🤔 Urais wa TLS, Ubunge wa Arusha......ni nin anataka kufanya ambacho kwa sasa yeye hawezi kufanya.....he is influencial among youth, ni msomi mzuri ana biashara ambazo zinafanya vizuri.....kwanin asitumie hivyo alivyonavyo kufanya mabadiliko? Mbona wafanyabiashara wengi wanaleta mabadiliko kwa biashara wanazofanya? yeye anashindwa nin?

Ndo unaelewa sio impact anayotaka kuleta bali ni pride

Mwisho wa siku he will become Jack of all trades master of none

Mtanisamehe sana lakini huwa nashindwa kumuelewa mtu ambaye kwa mfano ni katibu mkuu wa wizara anaacha anaenda kugombania ubunge ili aje kuwa waziri.....Katibu Mkuu anasimamia Sekta na Waziri vilevile kwa hiyo kama ni impact anaweza kuifanya kwa nafasi zote mbili.....lakini hata marupurupu kama gari atatembelea lile lile V8, marupurupu ni hayo hayo....ni nin ambacho hutawezakufanya kama sio kutafuta pride tu.
 
Kule kuifanya Taasis ya kitaaluma iwe jukwaa la wanasiasa na wanaharakati kulikuwa kunaelekea kuipeleka TLS shimoni.

Chaguo sahihi.
 
Back
Top Bottom