Hata isinge kuwa issue ya oil, Msando haaminiki..Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
BillionaireMbowe alipata zero skuli.
hakuna la maana zaidi ya kuongeza cv siku ya kuondoka dianianiWaliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.
View attachment 1753667
Mbowe ana master's degree Tena ya uingerezaMbowe alipata zero skuli.
Hongera Chadema au hongera Kitengo!?Chadema wakiku endorse lazima ushinde..
Hongera Dr Hosea
Kolila Sec School. Kiboroloni KKKT SchoolMbowe alipata zero skuli.
Afadhali kuliko Msando angetuharibia kabisa na siasa zake za maji taka ya lumumbaWaliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.
View attachment 1753667
Asante sana mzee wetu WasiraTangu aondoke Lissu hiko chama ni sawa na ccm tu.
Cdm wana jambo laoChadema wakiku endorse lazima ushinde..
Hongera Dr Hosea
Umemfanyia timingOkay Mkuu, umekuwa wa kwanza kutuhabarisha. Umewawahi wooooote! Tupe matokeo halisi sasa!
Kutuhabarisha maana ya dikiteetaNi kitu gani alichokifanya Lissu,?
Hosea utamlinganisha na mlevi wenu?Na ni upuuzi mtupu,Hosea ana legacy gani ya usafi?
Kum endorse mtu kama yule lazima uwe taahira kwa kiasi flani.Chadema wame bugi big time.
Mwenzako billionaire wewe na 1st class yako unamzidi nini.Kwahiyo?
TLS ina wajumbe ambao ni wanasheria wasomi, mawakili wanaojielewa. Yeyote watakayemwona anafaa kuwaongoza watamchagua, regardless of his political affiliation ataitwa Rais wa TLSChadema wakiku endorse lazima ushinde..
Hongera Dr Hosea
Mmawia are you a member of TLS ?Afadhali kuliko Msando angetuharibia kabisa na siasa zake za maji taka ya lumumba
Kwani form 4 leavers wanaruhusiwa kuwa member wa TLS?Mmawia are you a member of TLS ?
Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
😆 Sasa alivokuepo kulikua sawa na chama gani?Tangu aondoke Lissu hiko chama ni sawa na ccm tu.