Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

Amekuwa endorsed na baadhi ya wanachama wa Chadema ( kitu kilicho nishangaza). Catherine Ruge na wengine walim endorse Flaviana. Chadema haikum endorse mtu yeyote.

Amandla.
Na hii inatuonyesha vijana wa Chadema wako huru kifikra kuchagua wakipendacho hawapelekeshwi na viongozi wao.
 
Nchi hii unafiki kila kona, hawa wanasheria waliandika waraka mrefu sana kuhusu kujikinga na Covid na kuonyesha athari kubwa kwa jamii na baadhi ya wenzao,ila leo sijaona tahadhali yoyote iliyochukuliwa kwenye huo mkutano wao na hata wakati wa kushangilia na Hosea.........hakuna mTz anayeishi maneno yake
 
Huyu Flaviana ni Nani....mbona anakura nyingi hivi!
 
Hivi Msando ana shida gani mbona kila anapojaribu kugombea nyadhifa; vyeo na uongozi mara nyingi anaangukia pua?! Ni bahati mbaya au?! Anyways ni mtizamo tu wala sina shida nae ila nimewaza tu
 
Hahaha wale mnaochukia Wasukuma mnalo haya tena msiowataka waanza kurudi kwenye uongozi. Chuki za kikabila hazina issue Tanzania tulieni tujenge nchi. Kwa jina la Tanzania kazi ziendelee
 
Na ni upuuzi mtupu,Hosea ana legacy gani ya usafi?

Kum endorse mtu kama yule lazima uwe taahira kwa kiasi flani.Chadema wame bugi big time.
Wasukuma wana karama ya uongozi sana TLS wamepata jembe hawatajuta zaidi ya kufaidi uongozi mathubuti
 
3D
CHADEMA Walimuunga huyu jamaa kwa hali na mali. Sijajua kwa nini
 
Bongo Unafiki Mwingi Msando swala la corona aligeuka kuwa daktari mpaka aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa wakati huo Mrisho Gambo akamsweka ndani. Leo bado corona ipo hakuna Tahadhari yeyote aliyochukuwa.
 
Hahaha wale mnaochukia Wasukuma mnalo haya tena msiowataka waanza kurudi kwenye uongozi. Chuki za kikabila hazina issue Tanzania tulieni tujenge nchi. Kwa jina la Tanzania kazi ziendelee
Hatujamchagua kwa usukuma wake kuwa na nidhamu. Pia hata kama ni msukuma Ila hakuwa sukumagang maana Magu alimfuta kazi and he was close kupelekwa jela akamstahi tu. So shut your hole. Tumemchagua kwa merits zake sio usukuma au dini.
 
Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
Hv pale mlimani city watu wanatiana sana kwenye noa!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…