Mkuu vipi kaclip kake kanapatikana ?Msando is a good chap, na angeshinda Ila Ile clip ya yeye kupima oil kwenye gari ndio ilimtoa kwenye reli.
Watu hawapimii oil mbele ya camera, hayo mambo yanafanywa ndani ya Noah tinted mlimani city.
Masters ya kuongoza nyumbu sawaMbowe ana master's degree Tena ya uingereza
Wewe mku.ndu kuwaka kweli, huna mawazo mengine zaidi ya kuwaza kunya na kuchunguza makabila ya watu utakufa vibaya Sana fala weweSukuma gang wanaendelea kupeta.
Hongera msukuma Hosea kuwa rais wa TLS.
Ndiyo maisha halisi ya raia na viongozi wengi nchini, pamoja na wanasiasaBongo Unafiki Mwingi Msando swala la corona aligeuka kuwa daktari mpaka aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa wakati huo Mrisho Gambo akamsweka ndani. Leo bado corona ipo hakuna Tahadhari yeyote aliyochukuwa.
Learned friends wameamka, hurrah! Kilikuwa kimeanza kuwa kichaka cha usaliti na uanaharakati anarchist. Tulianza na traitor numero uno tundulissu TLS wakampa ushindi "landslide" tukajiuliza kulikoni. As if hiyo haijatosha kaja fatmakarume, Princess of the Royal blood, defender of slavers, arch - enemy of the revolution, kasomeshwa ivy schools hela za ikulu. Jamani!!View attachment 1753667
Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla.
Matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa TLS
Edward Hosea 293
Flaviana Charles 223
Shezhad walli 192
Albert Msando 69
Francis Stolla 17
======
UCHAGUZI TLS, NI DKT HOSEA
Dkt Edward Hosea amekuwa Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akishinda kwa jumla ya kura 293 akifuatiwa na malkia wa nguvu Flaviana Charles aliyepata Kura 223 Kati ya kura 802 zilizo pigwa na wanachama hao.
View attachment 1753814