conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD, kamuokoa mtoto asife baada ya mama yake aliyekuwa mjamzito KUKATA ROHO, ndani ya sekunde kadhaa vipimo KUONYESHA mama kafariki. Daktari aliamua kuchana tumbo la mama nakumuokoa mtoto, kabla hajapoteza oxygen. Maanuzi hayo ya kishujaa hakusubiri kuyafanyia theatre Bali pale pale kitanda ambacho mama alikuwa amelala.
Nasikia mtoto aliitwa ELIUD.
Hamna wa kuzuia kifo Ila kuna bidii yakuonyesha kukwepa kifo.
Je hawa huwa wanapewa tuzo gani?. Nasikia kuna na polisi huko kasikazini NI mfano wa kuigwa namna anavyokemea polisi wenzie wapuuzi. Hawa ndo wakupewa arambee ili waanzishe Miradi yao.