Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Makonda alishathibitiwa Hana umaarufu Tena. Anategemea kiki za wapinzani. Na Chini ya huyu jamaa ndio atapotea mazima.
 
naye huyu ni takataka na atakuja kuwa muuaji kama bashite au sabaya kwa udhaifu huo ulioutaja
 
Ilikua swala la muda, huyu Nchimbi ametajwa sana kushika nafasi hii, bahati nzuri yupo nje ya makundi.
Yuko nje ya makundi? Mkuu unamaanisha nini? Fukua vizuri history utapata data za kushangaza....niishie hapa.

Makundi hua ni kawaida kwenye vyama hakuna asiye na kundi, issue ni yuko kundi lipi? La watengwa waliokatwa mikia au la watoto "wa mama"?
 
Ww utakuwa ni wale washamba fulani mliokuja hapa mjini ukubwani, umefanikiwa kujua kuweka emoj kwenye post, basi Kila post unaweka irrelevant emoj!
hoja ni kwamba manyumbu na mapanyarodi kuacha maandalizi ya kujiandaa kwenda kupokea kichapo cha mbwa koko barabarani January 24 na kudandia hoja ya uteuzi wa katibu mkuu wa chama kisichowahusu,

hiyo ingine ya emoji ni porojo ya ujinga ya mwisho kabisa haifai kuchafua au kuumiza roho yako japo naeeza kukupa pole kiungwana πŸ’
 
Tulia ww peasant, huyo katibu mkuu wa chama Cha majizi anajadiliwa kama story za kawaida ya siku, ila sio kwa umuhimu huo.
 
CCM ni walewale.
Vijana mtaendelea kusubiria saana.
 
Tulia ww peasant, huyo katibu mkuu wa chama Cha majizi anajadiliwa kama story za kawaida ya siku, ila sio kwa umuhimu huo.
sasa mbona emoji πŸ’ inakukera na kukuumiza moyo?

jiandae kulegezwa na virungu na kuzolewa January 24 we panya rodi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…