Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama Samia sidhani kama atamkubali huyu Nchimbi, sbb ni nyingi sana, kwa wale CCM wakongwe tunajua
Sasa kama kamchagua makonda itashindikana Nchimbi? Chama cha Mafisi hakuna watu wa maana mzee zaidi ya Chawa tu hawa Akina ChoiceVariable Lucas mwashambwa na Ritz japo yeye baada ya kipigo cha HAMAS kule Gaza akili imemshuka.
 
Taarifa za hivi punde ni kwamba Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

Balozi Dkt. Nchimbi anachukua nafasi ya Daniel Chongolo ambaye alijiudhulu.

Nchimbi.jpg
 
Back
Top Bottom