Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tarajieni vurugu ndani ya CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtu mimi simuamini kama atakisaidia chama kurudi kwenye mstari wake kama cha kutetea wanyonge na maslahi ya umma. Ni mroho wa madaraka na ndoto yake kua rais itayumbisha uadilifu nchini.
Ngoja tuone nini kitaendelea maana wengi tuna kiu kuona uongozi wa kimagufuli unachukua uongozi wa nchi 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…