Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda nchimbi moto utawaka!
 
Huyo ndio rais wako 2030 .mafisadi wanaiteka nchi ila Mungu ni mkuu.
 
Itakuwa ana mizizi mirefu kufanya yote hayo na bado yupo anadunda
 
Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu CCM imepata mtu anaejuwa siasa, mipango na mikakati ndani ya chama. Tutarajie mitifuano kwa aina ya siasa na safu ya uongozi uliopo kwa kipindi hiki ndani ya CCM. Nchimbi si mwoga na si mtu anayeaamini katika unafiki na ujinga. Makonda atarajie kupata taabu kubwa kwa akili na mwenendo wa siasa na matendo yake, kwa hakika atapwaya na hasitegemee majungu, ufyatukaji, siasa za matukio na ubabe vitapata nafasi mbele ya Nchimbi.
 
Mifumo mifumo mama wewe hujampeleka mwanao akagombee chipukizi kama mwigulu?
Dah mkuu umenikumbusha jamaa mmoja alinichekesha sana, alicomment kwamba mwigu ameona yeye peke yake hawezi kutunyoosha ameamua kumleta na mwanae Ili watunyooshe vizuri.... Tz kuwa na tatizo la moyo mpana ni kujitakia tu kuishi hapa ni raha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…