Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini Dodoma alipokuwa akipokelewa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa ili kushiriki kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Taifa ya jumuiya hiyo.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema chama kitaendelea kuwa mfano kwa kuheshimu binadamu na kusisitiza sera zinazolenga maendeleo ya nchi na ustawi wa Watanzania.