Dkt. Emmanuel Nchimbi hakurejea Nyumbani

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu Mambo mengi muda ni mchache

Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.

Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.

Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri? na Balozi Makanzo yupo wapi?

IMG_20230811_182908_851.jpg
FB_IMG_1695841532287.jpg
Screenshot_2023-09-28-20-36-26-605_com.android.chrome.jpg
 
Hiyo picha ya Nchimbi hapo Misti ndio ushahidi wako?

Labda yeye alifuatilia sana Tx kupewa uwenyeji wenza kuandaa AFCON hivyo kaenda kushuhudia matunda
 
Amiri jeshi mkuu ameona afanye Usawa kwa mabalozi wote wanajeshi kuwapa majukumu mengine

22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE

1695927242066.png

Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I

MABALOZI-7.jpg
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023

Updates :
23 September 2023

hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.
 
Wakuu Mambo mengi muda ni mchache

Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.

Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.

Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri ? na Balozi Makanzo yupo wapi?

View attachment 2765334View attachment 2765335View attachment 2765340
Bado tunasubiri jibu na sisi wengine
 
Nchi ngumu sana
 
Acha kufuatilia mambo binafsi. Je, kama amesilimu na kuamua kuoa mwarabu huko unajuaje?
 
April 01, 2022
Cairo, Egypt

Balozi wa Tanzania Nchini Misri Dk. Emmanuel Nchimbi akiwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, leo 1 April 2022.
 
Wakuu Mambo mengi muda ni mchache

Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.

Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.

Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri ? na Balozi Makanzo yupo wapi?

View attachment 2765334View attachment 2765335View attachment 2765340
Na huyu tenguzi yake haikuwa sahihi , amekuwa huko Kwa miaka miwili Hadi sasa
 
Back
Top Bottom