23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....
Bado tunasubiri jibu na sisi wengineWakuu Mambo mengi muda ni mchache
Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.
Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.
Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri ? na Balozi Makanzo yupo wapi?
View attachment 2765334View attachment 2765335View attachment 2765340
Nchi ngumu sanaWakuu Mambo mengi muda ni mchache
Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.
Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.
Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri ? na Balozi Makanzo yupo wapi?
View attachment 2765334View attachment 2765335View attachment 2765340
Acha kufuatilia mambo binafsi. Je, kama amesilimu na kuamua kuoa mwarabu huko unajuaje?Wakuu Mambo mengi muda ni mchache
Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri.
Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban.
Sasa naomba kujua nini kilitokea mpaka Dkt. Nchimbi ameendelea kubaki Misri ? na Balozi Makanzo yupo wapi?
View attachment 2765334View attachment 2765335View attachment 2765340
Ametia neno?Mzee wa siasa za makundi
Kwa hiyo tenguzi haikuwa sahihiApril 01, 2022
Cairo, Egypt
Balozi wa Tanzania Nchini Misri Dk. Emmanuel Nchimbi akiwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, leo 1 April 2022.
Na huyu tenguzi yake haikuwa sahihi , amekuwa huko Kwa miaka miwili Hadi sasaWakuu Mambo mengi muda ni mchache