Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuzuia maiti asizikwe Hadi alipe pesa ya mwisho.

Nchimbi atwambie, wao wanatumia nini kufikiri?
 
Nchimbi anawaarifu indirect wananchi kuhudhuria Maandamano ya Amani.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.

Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo.



View: https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq

kama hoja za CHADEMA wanaofikiri kwa miguu ndiyo hizi, halafu za CCM wanaofikiri kwa vichwa mdiyo hizi, nasi Mungu ni vyema Mungu akaibariki Tanzania kwa kuipatia watu wenye miguu bila vichwa.
Ingawa nikiiongelea speech yake hii, namuona Nchimbi ana akili sana na ni Muungwana kuliko Chalamila ambaye ameamua kuupa nguvu na kuubariki ule msemo wa akili ni nywele, ambazo Chalamila hana.
 
Kulipa wabunge hewa 19 mishahara na posho wasio na chama chochote,

Wanatumia nini kufikiri?
 
When the by laws where being presented at the Parliament why didn't the oppose there on the spot!?
I think rather than focusing on past aspects, the so called opposition party should focus on what can they can to improve our country etc..
 
Duh!!

Uwezo wa kufikiri wa Dr.Nchimbi umeishia hapo?
 
Kumbe chadema wanaogopwa yaani Kila kichaa anatafuta la kusema
 
When the by laws where being presented at the Parliament why didn't the oppose there on the spot!?
I think rather than focusing on past aspects, the so called opposition party should focus on what can they can to improve our country etc..
Have you ever tried to advise ccm with this opinion? It's like when president Mugabe was asked by BBC journalist

BBC journalist: Mr. President when will you say goodbye to Zimbabweans?
Mugabe; Where are they going? Have ever asked this question to Queen of England?
 
Hayo maxungumzo alitaka yachukue miaka 1000? Hayo mazungumzo alitaka yafanyiwe kazi miaka 500? Ccm wanafikiri kutumia nini? Au ksababu unasimama na kuongea ukiwa na wapambe wanaolipwa?
 
Basi tuondoe kipengele katika katiba kinachoruhusu maadamano ya amani iwapo maana ya maandamano ni kufikiroa kwa kupitia miguu
 
T

Tena kawaheshimu sana, wahuni wa JF wana neno lao wangetumia.
Watakaowashangaa Chadema kutumia haki yao ya kikatiba kuandamana ujue wanatumia matako kufikiri
 

Attachments

  • JamiiForums663665719.jpeg
    JamiiForums663665719.jpeg
    44.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom