Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ya kusifia sifia viongozi wa chama hata pasipo na jambo la maana. Mfumo tumebadilisha sasa hivi tunarusha kwa simu sio kuja ofisini. Usisahau kuweka namba
Hiyo sio kazi ni kitu I feel proud kama wewe unavysikia Raha kutukana 😁😁

Sijajua unapata Raha au unajitwisha mzigo wa stress πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom