Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiondoa kupoteza bandari mama amejitahidi.msidanganywe bandar imeenda
Hata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?

Nasisitiza hakuna kibaya amefanya ni vile wengi mna akili fupi tuu.
 
Hata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?

Nasisitiza hakuna kibaya amefanya ni vile wengi mna akili fupi tuu.
Kama ulivosema unasikia kaka waulize walikuwa wanamwaga hela za nini kwa msukuma .ndege yetu waliishikilia mm wa mamlaka gani mkuu wa nchi akarudi na private jiongeze
 
Ila kuna watu wanapenda kusifiwa na kutukuzwa sana wanapenda kujiona ni wao tu ndiyo wanaweza wanasahau kuwa ipo siku wataondoka na ulimwengu utabaki!
 
Back
Top Bottom