Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kabisa, nyani ni walewale, msitu ndio tofauti.Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, nyani ni walewale, msitu ndio tofauti.Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Bei imepanda 20kWewe mbona huwezi namba ya simu? Mwenzako anamalizia na namba ya simu inakuwa rahisi kumrushiwa buku saba zake. Weka namba na wewe
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
📌📌🔨 Legacy 🤪🤪Kumbe Emmanuel Nchimbi ni pimbi
Sijui alituonaje yeye na Chawa wake.Maana yule Jamaa ,duu ilikuwa ndio nyimbo za vyombo vyote vya habari 😂😂😂🤣🤣🤣
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Amekuja kukanyaga Legasi kisawasawaKumbe Emmanuel Nchimbi ni pimbi
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
📌📌🔨 Legacy imeguswa 🤣🤣🤣🤣Huyu jamaa nilijua ana akili kumbe walewale ng'ombe na mkia Wake.
Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka @johnthebaptist atakuwa anamfahamu
Wenye akili Huwa wanaacha mda unatoa majibu ,ropo ropo ndio Huwa wananyolewa na hawadumu 🤣🤣Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!
Hapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? 😁😁😁😁
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu 😂😂😂
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Hata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?Ukiondoa kupoteza bandari mama amejitahidi.msidanganywe bandar imeenda
Kama ulivosema unasikia kaka waulize walikuwa wanamwaga hela za nini kwa msukuma .ndege yetu waliishikilia mm wa mamlaka gani mkuu wa nchi akarudi na private jiongezeHata hiyo Bandari kwani ni Bandari ya kwanza kuendeshwa na private sector hapa Duniani? Pesa zote zitakuwa Zinaenda DP World?
Nasisitiza hakuna kibaya amefanya ni vile wengi mna akili fupi tuu.
Mbona una hasiraHuyu jamaa nilijua ana akili kumbe walewale ng'ombe na mkia Wake.
Mwanaume ni Tundu Lissu tu.Kama mwanaume kweli angeropoka wakati ule, kama asingenyolewa kipara tuone komwe lake!
Sjatukana nionyeshe tusi.Hiyo sio kazi ni kitu I feel proud kama wewe unavysikia Raha kutukana 😁😁
Sijajua unapata Raha au unajitwisha mzigo wa stress 😂😂