ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Maana yule Jamaa ,duu ilikuwa ndio nyimbo za vyombo vyote vya habari ππππ€£π€£π€£Mimi mwenyewe namuunga mkono, tungeona rangi zote na masimango juu!
Hakuna pambio ambalo halikuimbwa, tumepitia mengi acha tu!Maana yule Jamaa ,duu ilikuwa ndio nyimbo za vyombo vyote vya habari ππππ€£π€£π€£
Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.Hakuna pambio ambalo halikuimbwa, tumepitia mengi acha tu!
Ya sasa hayajafikia hata robo ya tulikotoka! Watu walifikia stage ya kuimba tubadili katiba aongoze milele, ulikuwa wendawazimu uliopitiliza!Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Wewe mbona huweki namba ya simu? Mwenzako anamalizia na namba ya simu inakuwa rahisi kumrushiwa buku saba zake. Weka namba na weweHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Awamu ya 6 haisifiwi na kuabudiwa kama awamu ya 5.Kule kulikuwa na mapambio.....Sasa ni kusifu na kuabudu, waumini ni wale wale aliyebadilika ni mkalia kiti cha enzi.
Ili kitokee nini?Wewe mbona huwezi namba ya simu? Mwenzako anamalizia na namba ya simu inakuwa rahisi kumrushiwa buku saba zake. Weka namba na wewe
Si urushiwe buku 7 za kazi mkuuIli kitokee nini?
Kazi gani?Si urushiwe buku 7 za kazi mkuu
Jiwe alipofikia mungu akuvumilia. Yule jamaa angekuwa hadi leo sijui ingekuwajeHakuna pambio ambalo halikuimbwa, tumepitia mengi acha tu!
Katibu, fanya jambo kwa Mwenezi Taifa, mtume kwenye jumba bovuHapa naona Katibu Mkuu ametupa Jiwe gizani.
Swali ni nani huyo ambae alikuwa anajigamba sana? ππππ
Bila shaka johnthebaptist atakuwa anamfahamu πππ
View: https://youtu.be/JIARcaL69hg?si=ZHvEOjfpXA0KVtYg
Ya kusifia sifia viongozi wa chama hata pasipo na jambo la maana. Mfumo tumebadilisha sasa hivi tunarusha kwa simu sio kuja ofisini. Usisahau kuweka nambaKazi gani?
Hiyo sio kazi ni kitu I feel proud kama wewe unavysikia Raha kutukana ππYa kusifia sifia viongozi wa chama hata pasipo na jambo la maana. Mfumo tumebadilisha sasa hivi tunarusha kwa simu sio kuja ofisini. Usisahau kuweka namba
Jiwe alisema eti Mungu atampongeza yeye Jiwe Kwa kufanya kazi kubwa na kwamba atakuwa Kiongozi wa malaika π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jiwe alipofikia mungu akuvumilia. Yule jamaa angekuwa hadi leo sijui ingekuwaje