Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mwenyekiti wetu amefanya mambo makubwa bila majivuno. Angekuwa mwingine kafanya hakuna rangi tungeacha kuiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali zenu za 🌈 zilifanya yapi ya maana zaidi ya kusumbua awamu za Waislamu?
Sawa mkuu ila Samia muda wake utaisha na ataichia nchi kama walivyoachia wenzie na kutakuwa na mashabiki wa huyo kiongozi mwengine kama ulivyo wewe sasa.
 
Majukumu ya kawaida ila Kwa Kasi kubwa kushinda zingine,that is the point.

Unaweza maliza mbio ila usimalize Kwa wakati na mwingine.

Samia anawapelekea Moto 🌈
Kwanza kasi ipi unayozungumzia mkuu kipi kikubwa hasa anachofanya yeye katika kuleta hiyo kasi na kumuona ni kiongozi bora kuliko wote waliyopita?

Kwani Tanzania imekuaje sasa hivi toka aingie Samia?
 
Haya yote nayokuwekea hapa unaona sio Kasi?

Miaka zaidi ya 60 CT Scan 22,miaka 3 CT Scans 45 just to mention the few.

Wewe unaona sio Kasi? Iko hivyo kwenye miradi yote

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1747155989772615700?t=IJmWITr-MBNpuQe1dV-CMg&s=19

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1747877734599336162?t=pwLMqfO1eTx_KslkcD923Q&s=19

Iko hivyo sekta zote
 
Kama hata kununua CT scan ndio unaita ni kasi tena kwa nchi yenye miaka 60 kununua CT scans 45 kwa miaka mitatu basi tuna safari ndefu sana. Sema kwa sababu wewe unafanya ushabiki tu hapa ila unapokosoaga baadhi ya mambo ndio unapoona jinsi gani tupo nyuma na kiasi gani jinsi tulivyo na matatizo sugu.
 
Ni Kasi ndio,kwani hapa Tunalinganisha nini Hadi ushangae? Narudia Kila sekta kuna Kasi

View: https://www.instagram.com/p/C2PGOChtzxa/?igsh=MXdsMGJib3VxZDZhYQ==
 
Kasi ipi sasa kwa nchi yenye miaka 60? Labda ingekuwa tumetoka kupata uhuru hivi karibuni. Kwa hiyo miaka miaka mitatu unataka kuniambia Tanzania imebadilika nini au kipi kikubwa kilichofanyika nchini chenye kushangaza? Tunaendelea kuangaika na matatizo sugu vilevile na hakuna matumaini.
Wewe chadomo hujaona tofauti ya Samia na Viongozi wengine wa CCM waliotangulia? Au unasumbuliwa na chuki?

View: https://www.instagram.com/reel/C2MqHtoLNIE/?igsh=N25kbWx1djk0ZDh3
 
Tofauti ipi mkuu wakati Samia alivyoingia tu madarakani kuna mambo yamerudi kama enzi ya Kikwete wakati tulitakiwa tutoke huko na kusonga mbele, sasa wewe unataka tumuone Samia wako ni kiongozi bora kuliko hao wengine kisa kumenunuliwa CT scans mara sijui vitanda vya hospitali?

Nchi ina miaka 60, kuna nchi tunalingana umri ila ziko mbali sana kimaendeleo kutuzidi sisi ila wewe unakuja na habari za kasi ya Samia kununua CT scan.
 
Kuongea awezi atajipamba vipi, ndio maana kachagua aina yako kumpamba.

Anaupiga mwingi maana yake kusifia?
 
Back
Top Bottom