So what?Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.
Akizungumza leo, Agosti 26, 2026, katika kipindi cha Clouds 360, cha Clouds Media, Dkt. Kristomus amebainisha kuwa kwa simulizi za mitaani inaonyesha kiongozi huyo alikuwa ameshaitwa mara mbili kwenye Kamati ya Maadili ya Chama lakini hakutokea. Hivyo maamuzi yake ya kujiuzulu imekuwa kabla ya kikao kikubwa cha Chama lakini pia bunge ambalo limeanza leo, inawezekana aliamua kuwahi kujiuzulu kabla ya kuchukulia hatua na chama au bunge kutoa maamuzi ya kutokuwa na imani naye.
"Kiutaratibu hakupaswa atoke hadharani kusema "nimeandika barua ya kujiuzulu." Kiutaratibu alitakiwa asubiri yule aliyemwandikia amjibu na taarifa zitoke kwa yule aliyemwandikia kwamba "Makamu wa Rais ameniandikia barua ya kuomba kujiuzulu na mimi nimeridhia."- Amesema Dkt. Faraja Kristomus
Soma
- Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
- Rais Samia aridhia Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kuna baadhi ya ngazi huo utaratibu upo, maana huyo si mwenyekiti wa bazechaaKwani kuna utaratibu wa siri kwenye kujiuzulu?
Simulizi za mitaani? Mitaa ipi hiyo? Mkikosaga cha kuandika mlaleta viojaMchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.
Akizungumza leo, Agosti 26, 2026, katika kipindi cha Clouds 360, cha Clouds Media, Dkt. Kristomus amebainisha kuwa kwa simulizi za mitaani inaonyesha kiongozi huyo alikuwa ameshaitwa mara mbili kwenye Kamati ya Maadili ya Chama lakini hakutokea. Hivyo maamuzi yake ya kujiuzulu imekuwa kabla ya kikao kikubwa cha Chama lakini pia bunge ambalo limeanza leo, inawezekana aliamua kuwahi kujiuzulu kabla ya kuchukulia hatua na chama au bunge kutoa maamuzi ya kutokuwa na imani naye.
"Kiutaratibu hakupaswa atoke hadharani kusema "nimeandika barua ya kujiuzulu." Kiutaratibu alitakiwa asubiri yule aliyemwandikia amjibu na taarifa zitoke kwa yule aliyemwandikia kwamba "Makamu wa Rais ameniandikia barua ya kuomba kujiuzulu na mimi nimeridhia."- Amesema Dkt. Faraja Kristomus
Soma
- Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
- Rais Samia aridhia Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mwenyekiti wa kile chama dola anatabirika so ni rahisi kupambana nae ukijipanga vizuri.Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.
Huyu ni chawa mwingine anayetegemea HISANI ya Samia. Kila kitu siku hizi ni wazi, bado mna mawazo ya kizamani, yaani mnategemea mfiche fiche ya ki-CCM. Upumbavu mtupu unaongea fala wewe.Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.
Akizungumza leo, Agosti 26, 2026, katika kipindi cha Clouds 360, cha Clouds Media, Dkt. Kristomus amebainisha kuwa kwa simulizi za mitaani inaonyesha kiongozi huyo alikuwa ameshaitwa mara mbili kwenye Kamati ya Maadili ya Chama lakini hakutokea. Hivyo maamuzi yake ya kujiuzulu imekuwa kabla ya kikao kikubwa cha Chama lakini pia bunge ambalo limeanza leo, inawezekana aliamua kuwahi kujiuzulu kabla ya kuchukulia hatua na chama au bunge kutoa maamuzi ya kutokuwa na imani naye.
"Kiutaratibu hakupaswa atoke hadharani kusema "nimeandika barua ya kujiuzulu." Kiutaratibu alitakiwa asubiri yule aliyemwandikia amjibu na taarifa zitoke kwa yule aliyemwandikia kwamba "Makamu wa Rais ameniandikia barua ya kuomba kujiuzulu na mimi nimeridhia."- Amesema Dkt. Faraja Kristomus
Soma
- Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
- Rais Samia aridhia Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Halafu Rais kakubali haraka haraka!Nchimbi hajaandika hiyo barua. Kaandikiwa na kapostiwa.
Imagine barua hata haijaandikwa kwenye headed paper ya ofisi ya makamu wa rais.
Hii inaonyesha kuwa kuna jambo haliko sawa.
Makamu wa rais wa nchi anajiuzulu kupitia Instagram? Haiwezekani.
CrapMchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.