Dkt. Faraja Kristomus: Kiutaratibu Nchimbi amekosea kuleta barua Public

Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.

Akizungumza leo, Agosti 26, 2026, katika kipindi cha Clouds 360, cha Clouds Media, Dkt. Kristomus amebainisha kuwa kwa simulizi za mitaani inaonyesha kiongozi huyo alikuwa ameshaitwa mara mbili kwenye Kamati ya Maadili ya Chama lakini hakutokea. Hivyo maamuzi yake ya kujiuzulu imekuwa kabla ya kikao kikubwa cha Chama lakini pia bunge ambalo limeanza leo, inawezekana aliamua kuwahi kujiuzulu kabla ya kuchukulia hatua na chama au bunge kutoa maamuzi ya kutokuwa na imani naye.

"Kiutaratibu hakupaswa atoke hadharani kusema "nimeandika barua ya kujiuzulu." Kiutaratibu alitakiwa asubiri yule aliyemwandikia amjibu na taarifa zitoke kwa yule aliyemwandikia kwamba "Makamu wa Rais ameniandikia barua ya kuomba kujiuzulu na mimi nimeridhia."- Amesema Dkt. Faraja Kristomus

Soma

Wabongo wengi, wana uwezo mkubwa, wa kuongelea sana, kwa kujiamini kabisa, mambo ambayo hawana taarifa nayo hata nusu.

Mfano, Jasusi anasema ile barua ya mtandaoni hajaiandika Nchimbi, na mtandao wa Nchimbi umeingiliwa, na kwamba hata mdogo wake Nchimbi ambaye ni mbunge, John Nchimbi, hivi karibuni aliwahi kulalamika kuwa mtandao wake umeingiliwa, na kwamba kuna barua nyingine ambayo haijawekwa wazi, ya Nchimbi, inayoelezea madudu mengi ya serikali ambayo Nchimbi hakubaliani nayo, na hiyo ndiyo barua halisi ambayo haijawekwa hadharani.

Hatujui ukweli ni upi.

Lakini je, ikiwa Jasusi yuko sahihi, hatuoni kuwa hii dhana nzima ya kwamba Nchimbi kakosea kuweka barua hadharani inasambaratika?

Huyu hapa Jasusi msikilize.

View: https://youtu.be/2LzPtAQi3z4?is=TaC1M5MTB9cAbGjO
 
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.
Mngemnanga na kumpotezea heshima, alishawajua in advance
 
Huyu ni chawa mwingine anayetegemea HISANI ya Samia. Kila kitu siku hizi ni wazi, bado mna mawazo ya kizamani, yaani mnategemea mfiche fiche ya ki-CCM. Upumbavu mtupu unaongea fala wewe.
Halafu kajiita Dkt
 
Na waziri mkuu anafaa ajiuzulu ili huyu mama ateseke kisaikolojia maana watanganyika wamemchoka
 
Hakuna kipengele cha Katiba ya Tanzania ambacho Dkt. Emmanuel Nchimbi amekosea,,, alifuata utaratibu rasmi wa kikatiba kwa kuandika barua ya kujiuzulu kwa Rais Samia Suluhu Hassan chini ya Ibara ya 50(2)(c) na Ibara ya 149(2).
Kutangaza uamuzi wake kwenye mitandao ya kijamii hakuvunja sheria,,,, kilichohitajika kikatiba ni barua rasmi kwa Rais, ambayo alishawasilisha.
Huyo mchambuzi katoa tu mtazamo wake ambao si sheria.
Mchambuzi anatumia emotion zake tu. kuandika huko na kuiweka public kunalinda barua yake kuwekwa kapuni na badala yake wanamtandao wangempigia kura ya kutokuwa na imani na kuondolewa kwenye chama halafu anatemeshwa bungo kihuni. Yeye amekuwa one step ahead kuliko wao
 
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka iliyopokea barua hiyo.

Akizungumza leo, Agosti 26, 2026, katika kipindi cha Clouds 360, cha Clouds Media, Dkt. Kristomus amebainisha kuwa kwa simulizi za mitaani inaonyesha kiongozi huyo alikuwa ameshaitwa mara mbili kwenye Kamati ya Maadili ya Chama lakini hakutokea. Hivyo maamuzi yake ya kujiuzulu imekuwa kabla ya kikao kikubwa cha Chama lakini pia bunge ambalo limeanza leo, inawezekana aliamua kuwahi kujiuzulu kabla ya kuchukulia hatua na chama au bunge kutoa maamuzi ya kutokuwa na imani naye.

"Kiutaratibu hakupaswa atoke hadharani kusema "nimeandika barua ya kujiuzulu." Kiutaratibu alitakiwa asubiri yule aliyemwandikia amjibu na taarifa zitoke kwa yule aliyemwandikia kwamba "Makamu wa Rais ameniandikia barua ya kuomba kujiuzulu na mimi nimeridhia."- Amesema Dkt. Faraja Kristomus

Soma

Kujihami CCM kawaida sii watu il ni zaidi ya wanyama
 
Back
Top Bottom