Dkt. Faraja Kristomus: Kiutaratibu Nchimbi amekosea kuleta barua Public

Wabongo wengi, wana uwezo mkubwa, wa kuongelea sana, kwa kujiamini kabisa, mambo ambayo hawana taarifa nayo hata nusu.

Mfano, Jasusi anasema ile barua ya mtandaoni hajaiandika Nchimbi, na mtandao wa Nchimbi umeingiliwa, na kwamba hata mdogo wake Nchimbi ambaye ni mbunge, John Nchimbi, hivi karibuni aliwahi kulalamika kuwa mtandao wake umeingiliwa, na kwamba kuna barua nyingine ambayo haijawekwa wazi, ya Nchimbi, inayoelezea madudu mengi ya serikali ambayo Nchimbi hakubaliani nayo, na hiyo ndiyo barua halisi ambayo haijawekwa hadharani.

Hatujui ukweli ni upi.

Lakini je, ikiwa Jasusi yuko sahihi, hatuoni kuwa hii dhana nzima ya kwamba Nchimbi kakosea kuweka barua hadharani inasambaratika?

Huyu hapa Jasusi msikilize.


View: https://youtu.be/2LzPtAQi3z4?is=TaC1M5MTB9cAbGjO
 
Mngemnanga na kumpotezea heshima, alishawajua in advance
 
Huyu ni chawa mwingine anayetegemea HISANI ya Samia. Kila kitu siku hizi ni wazi, bado mna mawazo ya kizamani, yaani mnategemea mfiche fiche ya ki-CCM. Upumbavu mtupu unaongea fala wewe.
Halafu kajiita Dkt
 
Na waziri mkuu anafaa ajiuzulu ili huyu mama ateseke kisaikolojia maana watanganyika wamemchoka
 
Mchambuzi anatumia emotion zake tu. kuandika huko na kuiweka public kunalinda barua yake kuwekwa kapuni na badala yake wanamtandao wangempigia kura ya kutokuwa na imani na kuondolewa kwenye chama halafu anatemeshwa bungo kihuni. Yeye amekuwa one step ahead kuliko wao
 
Kujihami CCM kawaida sii watu il ni zaidi ya wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…