Dkt. Faustine Ndugulile agusia kuhusu matumizi ya fake account. Serikali kuja na sheria ya kulinda faragha

Dkt. Faustine Ndugulile agusia kuhusu matumizi ya fake account. Serikali kuja na sheria ya kulinda faragha

Ni kupoteza muda. Kwanza wenye kero nyingi na utawala wako ndani ya CCM na serikalini. Ndio maana mitandao kama ya Twitter na JF ni muhimu sana kwa Watanzania wengi kwa vile ndizo platforms pekee zilizobaki za kupeana ukweli baada ya freedom of speech kunyongelewa mbali.

JK alijua hilo ndio sababu ya kuanzisha mradi wa kujaza watu mnaowaita LB7 - MATAGA leo hii kupambana na “wapinzani” kwenye mitandao. Hivyo ni ujinga mkubwa kujidai unasaka ID fake. Ni kupambana na kivuli chako mwenyewe. Hata huyo waziri na wenzake kadhaa kwa nyakati mbali mbali huingia mitandaoni na “ID fake” kujiexpress dhidi ya maamuzi kero ya serikali yanayowatibua. Tena wengine hao hao ndio wanakashifu viongozi sana.
 
Hawafanani hata Kidogo.

Chahali ni mtu mwenye wenge sana, na papara.

Angekuwa yeye ingekuwa rahisi tu kumjua maana anaangalia pesa tu.

Alishawahi kumuwashia moto Kinana kwa kumdhurumu pesa.
Ni mtu mmoja believe me,ila anafanya everything ili kujitofautisha. Ila kuna issue zingine anajikuta kajisahau. Refer issue ya yule baba wa usalama aliyepata ajali akasema amekufa. Chahali hadi humu alianzisha uzi.
 
Teknolojia haina mbabe, nadhani waziri ana mambo mengi sana ya msingi ya kufanya kuliko kuhangaika na fake ids za social networks.

Tena kwenye ulimwengu wa mambo ya computer n.k angepaacha kabisa maana ni kiza kinene.
Umefanya kosa la mtandaoni tayari😅 kwa mwendo huu mtandaoni itakuwa Ni kupost mahubiri tu
 
Ni mtu mmoja believe me,ila anafanya everything ili kujitofautisha. Ila kuna issue zingine anajikuta kajisahau. Refer issue ya yule baba wa usalama aliyepata ajali akasema amekufa. Chahali hadi humu alianzisha uzi.
Unaweza kufake ila huna uwezo wakufake siku zote. Surely, nakwambia yule yule siyo Chahali. Humu JF tunatumia fake IDs, lakini watu wangapi humu wanabadili ID mpya lakini ndani ya muda mfupi tu tunawajua.

Sema Chahali yuko obssed sana na vitaarifa taarifa kama hivyo ndio maana huwa anafosi kuvileta ila ndivyo hana.

Hii hulka anayopia mtu humu anaitwa Britannica.
 
Kumbuka Chahali ni Afisa kipenyo. Hivyo ana mafunzo jinsi ya kuweka ID tofauti na kuwa kama mtu tofauti. Humu wenye ID mbili tofauti wapo kibao tu na hauwezi kujua ni mtu mmoja.
 
Tanzania hatupo kati ya nchi zinazoongoza kwa maendeleo ya ICT kwa Africa. Waziri angeeleza kwa kina mikakati ya kendeleza hii sector nyeti na siyo kujikita tuu kwenye kutunga sheria za kuwabana watumiaji.
 
Hata mimi nina ID mbili. Hebu niambieni ingine ni ipi?

Kumbuka Chahali ni Afisa kipenyo. Hivyo ana mafunzo jinsi ya kuweka ID tofauti na kuwa kama mtu tofauti. Humu wenye ID mbili tofauti wapo kibao tu na hauwezi kujua ni mtu mmoja.
 
Kuna tofauti ya fake ID na anonymous ID! Twende sawa hapo.

Anonymous id; having no outstanding, individual, or unusual features; unremarkable or impersonal.

Fake is; false or fake ID is any form of identification that is forged, altered, or otherwise purports to establish the false identity of a person.

Leta story Chief!
 
Kwa hiyo Watanzania tunatawaliwa na maiti ya Meko? Kweli huyu alikuwa DIKTETA sasa ameshakufa japo anapumua kwa mashine, KWANINI tuendeleze vitendo vyake vya unyanyasaji? Yaani kweli maiti ya Meko bado inatawala? Watanzania tuacheni UPUMBAVU!!
jamani kifo kipo tu
 
Back
Top Bottom