TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Ukiambiwa kilichomuua kitakusaidia nini? Umbea tu!
 
Mbona ghafra? Au kile cheo cha WHO ndo wamefanyia mambo?
inawezekana kuna watu wameona Tanzania ina n'gara kimataifa kukija rais wa mabunge duniani ,na hili kwenye WHO mmmm. ? otherwise haya mavyeo makubwa makubwa serikalini ni kama people are attacking other .Njia pekee ya kuepukana na haya yote ni kuruhusu demokrasia itawale maana hakuna watu au kundi flani litajiona kwamba ndio lina title deed katika vyeo flani au nafasi flani serikalini.
 
Kwamba Dr hakujua mabadiliko ndani ya mwili wake na kuchukua hatua za tiba?
Unatuthibitishia Dr kafa kwa sumu?
Mood thibitisheni taarifa ya hii comment!
 
Such is life... Kila mmoja atakufa, lazima tuliweke akilini hili, Kwa kuwa huna picha na unapokwenda basi be cool, humble usijifanye mjanja mjanja, vyote unavyoringia vitaondoka kwenye muda usioutambua, nawasihi wenye mamlaka, nguvu na pesa si wa kwanza ww kuwa na hivyo vitu vitatu nilivyotaja bali usiishi Kwa ubabe, usimdharau mtu au watu, be friend ndugu,binafsi nimepoteza majemedari wengi sanaaa kwenye maisha yangu Hadi hivi Sasa. Wapo ninaowajua wamekufa lakini Hadi vichaa wanasikitika licha ya nguvu na pesa walizonazo.

Poleni sana wafiwa. Hayo yatapita.
 
Yaan aache kwenda WHO abakie kwenye ubunge wa nchi ya kusadikika?

Hivi Huwa mnawaza kwa kutumia ubongo au uti wa mgongo?
 
Masikini, Dah!
Pumzika kwa amani Faustine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…