TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Kwani ilikuwa ni hiyo kitu? Dadavua Kidogo....
 
Wdwe
Chanzo cha kifo?
Utajua msibani kaa siti za nyuma nyuma
 
Ufunuo 14:13

Kisha, nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika! Heri watu ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana na Bwana.” Naye Roho asema, “Naam! Watapumzika kutoka taabu zao; maana matunda ya jasho lao yatawafuata.”

Zingatia maneno "wameungana katika Bwana"
 
Aiseeee
Jamani

Hajafaidi hata cheo chake kipya alichokipata
RIP mwamba, ulikuwa Mtumishi mzuri
Mungu akurehemu.
 
Huyu mheshimiwa yawezekana alifariki siku kadhaa huko nyuma, ila kwa mambo ya siasa wameamua kutuchanganya juu kwa juu na jambo la leo.

Kwamba wakifanya yao akili za watanzania ziwe kwa marehemu.
Huyo jamaa sio maarufu sana kwa watanzania wengi hasa wa hali ya chini, hvy kusema hayo sio sahihi ukitaka kujua hilo em zunguka mtaani kwenye hilo jambo unalolisema utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…