PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwamba sababu ya kutolewa ni hiyo, hilo halina ukweliMakonda ana dawa, anyway, alitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.
R. I. P, kigamboni imepoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba sababu ya kutolewa ni hiyo, hilo halina ukweliMakonda ana dawa, anyway, alitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.
R. I. P, kigamboni imepoteza
Yule ilikuwa cancerHizi nafasi za kazi kwenye mashirika ya kimataifa ya Afya kwa Ndugu zetu zina shida?
Kifo cha Faustine kimenikumbusha kifo cha yule Doctor mdada mtoto wa Mzee Malecela..alifariki miezi michache baada ya kuchaguliwa.
Huyu ni nn kilichompeleka?Yule ilikuwa cancer
Tangu 2009 hadi leo upo tuu! Bado hujazeeka, You Know 🙏🏾Ohhh No 🥲, May he rest well .
Kifo kilimuuaKama Mwana-Kigamboni na mlipa kodi. Nahitaji kujua nini kimesababisha kifo cha Mbunge wetu wa Jimbo la Kigamboni huko India? Chanzo cha kifo hakitajwi popote
Walioenda msibani historia ya marehemu ilisemaje?Kama Mwana-Kigamboni na mlipa kodi. Nahitaji kujua nini kimesababisha kifo cha Mbunge wetu wa Jimbo la Kigamboni huko India? Chanzo cha kifo hakitajwi popote
Tafuta death certificate..1. Kama Mwana-Kigamboni na mlipa kodi. Nahitaji kujua nini kimesababisha kifo cha Mbunge wetu wa Jimbo la Kigamboni huko India?
2. Chanzo cha kifo hakitajwi popote. Si kwenye tangazo la kifo wala salamu za rambirambi. Nini kinaendelea?
Haikutaja sababu ya kifoWalioenda msibani historia ya marehemu ilisemaje?
Hebu niamkie wewe Generation ZTangu 2009 hadi leo upo tuu! Bado hujazeeka, You Know 🙏🏾