Kivipi boss km ulizaliwa basi jua utakufa pia muhimu kuwa teyar muda wote..Duh, Aisee.
Apumzike kwa amani Dokta Ndungulile.
Ndio mlango wa mafanikio unafunguka na milango ya kuzimu inafunguka pia.
Poleni sana ndugu na jamaa wa Dokta Ndungulile.
We're a cursed stateDuh,
Aliumwa lini? Tanzania yetu ina mambo
mmh 2025????Tanzia
View attachment 3162827
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile. Kwa niaba ya Wabunge natoa pole kwa familia, wakazi wa Kigamboni na Watanzania wote. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi", amesema.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia inaendelea kuratibu shughuli za mazishi na taarifa zaidi zitaendelela kutolewa.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, APUMZIKE KWA AMANI.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma,
Ofisi ya Bunge,
DODOMA.
27 Novemba, 2024
Kuna mambo huko kwenye power corridor ni magum kweli aiseeWe're a cursed state
Mungu amrehemu Na kumlaza Mahali pemaMhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2025 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile.
Kwa niaba ya Wabunge natoa pole kwa familia, wakazi wa Kigamboni na Watanzania wote. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi", amesema.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia inaendelea kuratibu shughuli za mazishi na taarifa zaidi zitaendelela kutolewa.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, APUMZIKE KWA AMANI.
Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, DODOMA 27 Novemba, 2024
View attachment 3162820
Huu ni Msiba Mkubwa sana hasa kwa Wanachama wa JamiiForums kwa kumpoteza Mwenzao @Dr F. Ndugulile.
View attachment 3162839
Rip Ndungulile ...Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024

alisumbuliwa na nini?Makonda ana dawa, anyway, alitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.
R. I. P, kigamboni imepoteza
2025????leo tarehe 27 Novemba, 2025 nchini