Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kwenye Ukurasa wa Facebook wa Spika wa bunge Dr. Tulia muda si mrefu
ametuma " I hate death" akaweka picha ya Dr. Fustine Ndugulile, mbunge wa
Kigamboni.
Je wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili au ni akaunti yake imekuwa hacked?
Na mafuru pia.Kama tume ya kuchunguza kifo cha Mzee wetu kibao imemaliza kazi,ninashauri tutumie tume hiyo hiyo kuchunguza chanzo cha kifo Cha
Dr.Faustine Ndungulile (MD ,MMED,LLB).
Hebu funguka zaidiHuyu jamaa alikuwa na matatioz flan hivi ya moyo kama sikosei?
#124Kitu gani kimemsibu?
Sumu au nini, maana mtu wa kuzaliwa 1969 bado kijana.
Mimi siandiki ujinga,Kama unaona ameandika ujinga ,nawe andika hapo ujinga wako tuusome.
The rising Star has just fallen suddenly.Nothing last , see you again.
Achukue tu ht ss hvDahhh. Tulisikia tetesi nyingi kuwa Bashite analitaka Jimbo lako 2025🤔