loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Hili fungu kwenye biblia linatosha kabisa kutuonya kuhusu maisha yetu kuwa tujiandae na tutende mema daimaAYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
AYU. :14:2
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
AYU. :14:5
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita;
ZAB. :90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito