TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Ghafla sana!
RIP Dr Ndugulile, poleni familia , poleni Wanakigamboni, poleni Watanzania. Hakika inasikitisha na kuliza sana. Ili kupunguza machungu ya masikitiko haya, tunahitaji maelezo ya kutosha. Kwa sababu kwa taarifa hizi zilizopo Maswali yanakuzwa mengi kuliko majibu.
 
Tanzania isiwe na smart kiakili kupitiliza, inabidi uhame nchi au fanya biashara.
 

Tusipopiga kelele kuhusiana na vifo hivi tunavyoaminishana kiboya boya kuwa kifo ni kifo tu, na tuendelee kusubiria zamu zetu mmoja baada ya mwingine.

Anyway apumzike kwa amani Faustine Ndugulile.
 
Indian, India, India jamani na viongozi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…