Dkt. Faustine Ndugulile ateuliwa Kamati ya Sheria Ndogo na Masuala ya UKIMWI

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI

Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati ya Masuala ya UKIMWI katika Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

@faustine_ndugulile
#KaziIendelee

 
Japo siipendi ccm lakini usichokijua huyu jamaa anakuwa tested na system makusudi for higher positions.
Hadi unaweza kusema ana gundu, kila anapopelekwa Ndugulile ni lazima atenguliwe 🐒
 
mambo yanaenda kasi sanaa ka virurushi vya internet vinavyotafuna na background applications/program kwenye simu

ukija stuka unawapigia customer care kuulizia salio limeishaje
 
Daktari anapewa idara ya sheria na mwanasheria anapewa idara ya afya.

Hii nchi hii!
 
Kwa Daktari na kamati ya Ukimwi, sawa kabisa.
Sawa na mgonjwa na uji, pale vifurushi na tozo ilikuwa fiksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…