TANZIA Dkt. Frank Nicodemus Tyilia Hatunaye duniani

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.

Alale pema peponi
Amen.
IMG-20220103-WA0001.jpg
 
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.

Alale pema peponi
Amen.View attachment 2067096

Mkuu BARDIZBAH salam kwako. Je huyu Dr. Tilya sio mojawapo wa Associates wa USCF na mwalimu mzuri wa neno la Mungu? Ahsante
 
Poleni wasomi kwa kuondokewa na msomi!
 
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.

Alale pema peponi
Amen.View attachment 2067096
Hata ku copy Jina kuna kushinda
Poleni wafiwa
 
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.

Alale pema peponi
Amen.View attachment 2067096
R.i.p..ameacha kumbukumbu/ugunduzi gani kwa taifa kama msomi
 
Back
Top Bottom