GE2025 Dkt. Godfrey Malisa: Nitamuunga mkono Luhaga Mpina katika mbio za urais

GE2025 Dkt. Godfrey Malisa: Nitamuunga mkono Luhaga Mpina katika mbio za urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, na ataendelea kutafuta haki kwenye vyombo vya sheria ili kuhakikisha CCM inarejea kwenye misingi yake iliyoanzishwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Malisa ameyasema hayo Agosti 24, 2025 wakati Mpina alipofika Jimbo la Same Mashariki, mkoani humo, kuomba udhamini kwa wananchi.

Aidha, Malisa amesisitiza kuwa bado ni mwanachama wa CCM, lakini hayupo tayari kuunga mkono chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

 
Poor guy!

Kumbe mkakati wake tangu kitambo ulikuwa ni uleule wa kunogesha 2025 Oktoba?

Hizi ni jitihada za kuwavuta undecided voters na unsatisfied voters waende upande wa pili.

Lengo?

Lile lile la kuraba-stamp Oktoba 2025.
 
Poor guy!

Kumbe mkakati wake tangu kitambo ulikuwa ni uleule wa kunogesha 2025 Oktoba?

Hizi ni jitihada za kuwavuta undecided voters na unsatisfied voters waende upande wa pili.

Lengo?

Lile lile la kuraba-stamp Oktoba 2025.
I'm trying to understand what you mean.
It's rather disconcerting for the two fellows to believe they can make a difference by being part of the system they're supposedly opposed to by taking part in the flawed process!

This is a highly poor judgement for anyone aspiring to be a leader.
 
Back
Top Bottom