Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Mbunge wa jimbo la Siha, pale Kilimanjaro Daktari Godwin Aloyce Mollel ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya Afya amethibitisha mbinu anayotumia kuwalaghai wachaga pale jimboni Siha hili wamrudishe kama mbunge wa jimbo hilo. Ikumbukwe Godwin Mollel alikuwa Mwanachama wa Chadema na Mwaka 2020 akatimukia CCM ambapo amehudumu kama mbunge na naibu waziri wa afya mpaka hivi sasa.
Kabila la Wachaga ni kabila linaloaminika kuwa ni kati ya makabila Smart na ya watu wenye pesa, ila kwa uongo huu mnaodanganywa na kisha kumpa kura huyu mbunge ni wazi kuwa heshima mnayopewa hamuistahili. Sikiliza kwa umakini anachosema