Dkt. Godwin Mollel, askari wa mwavuli aliyechukizo machoni pa wafuasi na wanachama wa CHADEMA

Dkt. Godwin Mollel, askari wa mwavuli aliyechukizo machoni pa wafuasi na wanachama wa CHADEMA

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel.

Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na huwa hatumii papara kukemea waliokosea.

Moja ya ziara zake ambayo mimi nimeifuatilia kwa ukaribu ni pale alipokuwa Mount meru hospital,Arusha. Aliweza kuibua madudu mengi ambayo aliyaweka wazi bila papara. Mfano aliweka wazi kosa la kitalaamu lililofanywa na mmoja wa madaktari kwa kukosea kusoma X ray photo, jambo ambalo aliwaumbua watalaamu wetu bila papara.

Lakini hili jembe pamoja na kuwa makini kwenye uchapa kazi wake,wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanalichukia sana. Na hii ni kwa sababu liliweka wazi ukweli kuwa CHADEMA walihusika katika njama za kumpiga risasi Lissu ili kuchafua taswira ya nchi yetu.

My opinion; mtu kama ni mchapa kazi na anatimiza wajibu wake vizuri hatutakiwi kumchukia.
 
Ndio kakupanga, kakulipa na kakutuma uje utulishe hayo. Nani asiye mjua tabia zake hilo la mount meru ndio umeliona mikoa mingine na kwao kafanya nini, ukiwa na jibu ya historia uje nikujibu
 
Chadema ipi tena jamani nyie mataga si mlishasema mmeufuta upinzani tanzania??
 
Ndio kakupanga, kakulipa na kakutuma uje utulishe hayo. Nani asiye mjua tabia zake hilo la mount meru ndio umeliona mikoa mingine na kwao kafanya nini, ukiwa na jibu ya historia uje nikujibu
Fuatilia ziara zake utapata ukweli,tuache chuki. Jamaa ni mkweli
 
Lakini hili jembe pamoja na kuwa makini kwenye uchapa kazi wake,wafuasi na wanacha wa Chadema wanalichukia sana. Na hii ni kwa sababu liliweka wazi ukweli kuwa Chadema walihusika katika njama za kumpiga risasi Lissu ili kuchafua taswira ya nchi yetu.

Maneno wasiopenda kuyasikia CHADEMA 🤣🤣
 
Fuatilia ziara zake utapata ukweli,tuache chuki. Jamaa ni mkweli
Sina chuki naye hata kidogo kama wewe ni mwandishi wake amekutuma sawa kama sio lete za watu wengine unao wajua wenye historia ya kazi au unamjua huyo tu
 
Maneno wasiopenda kuyasikia CHADEMA 🤣🤣
Hakuna cha chadema wala nini, mtu akiwa mzuri na mchapa kazi basi atasikika na yeyote yule na si kumpamba baada ya kupewa ugali ili kazi yake itengenezwe asikike.
 
Hakuna waziri mpuuzi kama huyu!Akil ndogo,uelewa mdogo!Uliza wanaomjua vizuri
 
Back
Top Bottom