Dkt. Godwin Mollel, askari wa mwavuli aliyechukizo machoni pa wafuasi na wanachama wa CHADEMA

Dkt. Godwin Mollel, askari wa mwavuli aliyechukizo machoni pa wafuasi na wanachama wa CHADEMA

Hata mdhikiri uchi hapo uwanja wa taifa, ukweli huo haufutiki.
Tulia kijana, mimi nipo Kahama Segese. Usiniletee habari za Dar. Dk Mollel aliweka ukweli, tupe na wewe ukweli wako. Acha kukariri na chuki zako za Dar sababu maisha magumu.
 
Walevi wakikutana hujiona hakuna aliyeyapatia maisha Ila wao, cha ajabu asubuhi wanaanza kupiga mzinga hata hela yaa supu, hivi akili zao unawezaji kumpa sifa mtu kama huyo!? Hamnazo! Yaani yule nati tu moja.
 
Tulia kijana, mimi nipo Kahama Segese. Usiniletee habari za Dar. Dk Mollel aliweka ukweli, tupe na wewe ukweli wako. Acha kukariri na chuki zako za Dar sababu maisha magumu.

Ukweli ni ukweli tu hata ukae ahera madukani, kwa taarifa yako hata Lisu mwenyewe apewe hela leo ili akanushe kuwa muhusika sio jiwe, bado hawezi kubadili ukweli huo. Hiyo ndio nguvu ya ukweli.
 
Ukweli ni ukweli tu hata ukae ahera madukani, kwa taarifa yako hata Lisu mwenyewe apewe hela leo ili akanushe kuwa muhusika sio jiwe, bado hawezi kubadili ukweli huo. Hiyo ndio nguvu ya ukweli.
Wewe nakujua vizuri ni mhafidhina.
 
Hii ndio kazi mliyobakiwa nayo ya kuanza kuwapamba wale makinikia wasio hit ili waonekane na malaika mkuu! Kama kweli Ana guts atoke na kick ya nimonia mpya Kama hajasahailishwa huo unaibu!
By the way, contract yako ni ya Bei gani?
Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel.

Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na huwa hatumii papara kukemea waliokosea.

Moja ya ziara zake ambayo mimi nimeifuatilia kwa ukaribu ni pale alipokuwa Mount meru hospital,Arusha. Aliweza kuibua madudu mengi ambayo aliyaweka wazi bila papara. Mfano aliweka wazi kosa la kitalaamu lililofanywa na mmoja wa madaktari kwa kukoseaa kusoma X ray photo, jambo ambalo aliwaumbua watalaamu wetu bila papara.

Lakini hili jembe pamoja na kuwa makini kwenye uchapa kazi wake,wafuasi na wanachama wa Chadema wanalichukia sana. Na hii ni kwa sababu liliweka wazi ukweli kuwa Chadema walihusika katika njama za kumpiga risasi Lissu ili kuchafua taswira ya nchi yetu.

My opinion; mtu kama ni mchapa kazi na anatimiza wajibu wake vizuri hatutakiwi kumchukia.
 
Huyu Mmasai hajui kujieleza kwa kiswahili fasaha, hivi Unaongea nini wewe fala
 
Back
Top Bottom