Dkt. Godwin Mollel: CHADEMA inakufa, haina sifa ya kwenda Ikulu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani.

Akizungumza katika mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Manyunyu TV leo Jumanne, Juni 9, 2026, Dkt. Mollel ameweka wazi kuwa viongozi hao hawana sifa za kuingia Ikulu kwasababu hawakupitia mfumo rasmi wa kujengwa kiuongozi, jambo litakalosababisha chama hicho kuendelea kushuka na kupoteza ushawishi kwa wananchi.

Alijinasibu kuwa CCM ina mifumo imara kuanzia chipukizi mpaka Umoja wa Vijana (UVCCM), tofauti na upinzani ambapo mtu anaweza akawa hajulikani lakini akionekana tu "amependeza" jukwaani na ana uwezo wa kuongea anapewa uongozi bila kujali kesho atafanya nini
 
uKIWA SISIEMU laziMa ujitoe ufahamu.

Chama kilichoazuiwa kufanya siasa kwa mwaka mzima lakini kimerudi na KUSEPA NA KIJIJI...michango hadi milioni 7 per day halafu hilo Chizi Moleli linaleta ndoto za abunuasi.
 
Hana karata nyingine ya kupata huruma ya unaibu waziri zaidi ya kuisema hovyo Chadema.
Karata hiyo ilitumiwa na Mwigulu na Ally Hapi wakati wa
Mzoga Wa Msoga na Jiwe
Mshaurini mng'oa meno atafute fursa nyingine.
 
yupo sahihi 100%
 
kama ndio hivyo akina katambi wamewapa jadi kazi nyeti huko kwa wanaccm hawaonekan wapewe
 
Hivi hajioni kwamba yeye ndiye anayekufa?
 
Mollel ni mpumbavu sana atakufa yeye na kuiacha Chadema. Hii modeli ya kichwa na pua yake inamtambulisha kuwa ana mtindio wa ubongo.
Huyo ni mjinga , hakuna chama kinachokufa halafu bado kila siku kiwe kinawindwa na policcm.

Lini amewahi kuona matawi ya CCM kama CHAUBWABWA yanawindwa na policcm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…